Nilikua natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza nianze wapi eh Marafiki wangu wote wamenikimbia Jehovah Nissi nalia nihurumie Chorus Nipe uwezo uwezo Wa kusimama imara juu ya neno lako Uwezo uwezo Wa kusimama imara juu ya neno lako Nilikua natafuta kipenzi cha roho yangu Sasa mie nauliza nianze wapi Maumivu machungu mengi yamenitazamie Jehovah Nissi nalia nihurumie Bridge Oooaa ooaa ooaa hei hei Ooaa ooaa

Watch the song video
Top songs from Adawnage